(+) My Angel (Malaika)
Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Ningekuoa mali we, ningekuoa dada
Nashindwa na mali sina we, ningekuoa
Malaika (2x)
Pesa, zasumbua roho yangu
Pesa, zasumbua roho yangu
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika (2x)
Kidege, hukuwaza kidege
Kidege, hukuwaza kidege
Ningekuoa mali we, ningekuoa dada
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa Malaika (2x)
Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Ningekuoa mali we, ngekuoa dada
Nashindwa na mali sina we, Ningekuoa Malaika (2x)
Malaika, nakupenda Malaika
Ningekuoa mali we, ningekuoa dada
Nashindwa na mali sina we, ningekuoa
Malaika (2x)
Pesa, zasumbua roho yangu
Pesa, zasumbua roho yangu
Nami nifanyeje, kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa Malaika (2x)
Kidege, hukuwaza kidege
Kidege, hukuwaza kidege
Ningekuoa mali we, ningekuoa dada
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa Malaika (2x)
Malaika, nakupenda Malaika
Malaika, nakupenda Malaika
Ningekuoa mali we, ngekuoa dada
Nashindwa na mali sina we, Ningekuoa Malaika (2x)
2020-04-09 18:10:07
Today's Hot lyrics
1
AKMU(악뮤) (+) 소문의 낙원
AKMU(angmyu) (+) somunui nagwon2
(+) 런캐럿-시발놈아
(+) reongkaereot-siballoma3
데이먼스 이어(Damons year) (+) Untitled_08
deimeonseu ieo(Damons year) (+) Untitled_084
김하온(HAON) (+) TICK TOCK (Feat. ZICO) (Prod. by ZICO, Crush)
gimhaon(HAON) (+) TICK TOCK (Feat. ZICO) (Prod. by ZICO, Crush)5
(+) 하모 (hamo) - 아크라포빅 [Official MUSIC VIDEO]
(+) hamo (hamo) - akeurapobik [Official MUSIC VIDEO]6
한로로 (+) 0+0
halloro (+) 0+07
(+) 박광현-비소
(+) bakgwanghyeon-biso8
CORTIS (코르티스) (+) REDRED
CORTIS (koreutiseu) (+) REDRED9
아일릿(ILLIT) (+) It′s Me
aillit(ILLIT) (+) It′s Me10